cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 498
eti jamani mimi nina rafiki yangu wa kiume(wa kawaida sio laaziz,mpenzi),huyu rafiki yangu amekuwa akinichanganya kidogo tunapoandikiana sms au email maana amekua akipendelea kuniita MPENZI,DARLING,BABY lkn mie simuiti hivyo ninapomuandikia ila nimekuwa najiuliza kama kuna kitu anamaanisha na hayo majina au tu ni kawaida maana hata wasichana sometimes wanaitana mpenzi,dear.
Namuheshimu sana rafiki yangu huyu na huwa sipendi kumuwazia mabaya ndio maana naomba mnieleweshe ili niwe clear.
lav you all.

........du!wewee naweeee..yani na ukubwa wako na ujanja wako hujui kuwa kuna midume MIDOMO GANZI...kusema haiwezi INAONGEA KWA ISHARA NA LUGHA YA PICHA...kwa taarifa yako huyo jamaa anakufeel kinoma sema anakuonea soo kuvunja ukimya...
NDO MAANA WATU WA MAREKANI WAKALIONA HILO ....pia mie huwa sielewi mnaposema "namuheshimu sana".....ujue ukimuheshimu mtu sana ina maana upo tayari kumpa chochote atachohitaji....ndo maana mie huwa nawatongoza wale wote wanaosema wananiheshimu sana na huwa tunaishia kulana matunda ya miti yetu ya kati
....NI MAONI TUU
lav you all.
[/QUOTE]wewee naweeee..yani na ukubwa wako na ujanja wako hujui kuwa kuna midume MIDOMO GANZI...kusema haiwezi INAONGEA KWA ISHARA NA LUGHA YA PICHA...kwa taarifa yako huyo jamaa anakufeel kinoma sema anakuonea soo kuvunja ukimya...
NDO MAANA WATU WA MAREKANI WAKALIONA HILO ....pia mie huwa sielewi mnaposema "namuheshimu sana".....ujue ukimuheshimu mtu sana ina maana upo tayari kumpa chochote atachohitaji....[B]ndo maana mie huwa nawatongoza wale wote wanaosema wananiheshimu san[/B]a na huwa tunaishia kulana matunda ya miti yetu ya kati
....NI MAONI TUU
lav you all.
Hana maana yeyote kama hajawahi kukuomba tunda! Mbona mimi huwa nawaita wapendwa wapenzi wangu waumini nikiwa sina dhamira ya kuwakwaza! Acha kujishuku.
Una miaka mingapi? tekeleza bila kuchelewa.😛layball:

nitekelezeje?