cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 498
eti jamani mimi nina rafiki yangu wa kiume(wa kawaida sio laaziz,mpenzi),huyu rafiki yangu amekuwa akinichanganya kidogo tunapoandikiana sms au email maana amekua akipendelea kuniita MPENZI,DARLING,BABY lkn mie simuiti hivyo ninapomuandikia ila nimekuwa najiuliza kama kuna kitu anamaanisha na hayo majina au tu ni kawaida maana hata wasichana sometimes wanaitana mpenzi,dear.
Namuheshimu sana rafiki yangu huyu na huwa sipendi kumuwazia mabaya ndio maana naomba mnieleweshe ili niwe clear.
lav you all.
Namuheshimu sana rafiki yangu huyu na huwa sipendi kumuwazia mabaya ndio maana naomba mnieleweshe ili niwe clear.
lav you all.