Naombeni mnijulishe kiwanja kikali wakuu nimepiga betting milioni 11

Naombeni mnijulishe kiwanja kikali wakuu nimepiga betting milioni 11

kibovu

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
702
Reaction score
759
Ndugu wanajamvi Leo nisiku yakipekeee nimempiga mzungu milioni 11Nipo nakunywa bia hapa tabata bima forty forty.

Naombeni mnijulishe kiwanja kingine chenye watoto wakali wakuuu.

Nikatumie walau laki6 tu.

Natanguliza shukrani zangu za zati
 
Eeeeeh!!! Yan leo meridian
Inajuta kukungisha kwenye
Kampuni yao co

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Boss sogea singida hapa... Tule visivyo na antenna...
 
Hela za mafao usizibadili jina ukaziita za betting

Post sent using JamiiForums mobile app
 
weka huo mkeka hapa vinginevyo itakua blaah blaa za kujipunguzia stress zinazo tokana na kile kiitwacho
hakuna nyongeza ya mshahara
hakun ajira mpya
hakuna uhamisho kwa watumishi
n.k n.k
 
Back
Top Bottom