Naombeni mnijulishe kiwanja kikali wakuu nimepiga betting milioni 11

Naombeni mnijulishe kiwanja kikali wakuu nimepiga betting milioni 11

weka huo mkeka hapa vinginevyo itakua blaah blaa za kujipunguzia stress zinazo tokana na kile kiitwacho
hakuna nyongeza ya mshahara
hakun ajira mpya
hakuna uhamisho kwa watumishi
n.k n.k
weka huo mkeka hapa vinginevyo itakua blaah blaa za kujipunguzia stress zinazo tokana na kile kiitwacho
hakuna nyongeza ya mshahara
hakun ajira mpya
hakuna uhamisho kwa watumishi
n.k n.k
mkuuuu nimeshachukua na hio pesa tangu saa mbili
 
Mtumie mdogo wako mtaji afungue biashara Mkuu!

LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
 
Mwenye pesa haongei.. Bwahahahah

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
 
Kumbe sisi tukiliwa nyie ndio mnachukua hela zetu eeh?
Basi nialike angalau nije kuangusha chupa moja ya wine mkuu...
 
Ndugu wanajamvi Leo nisiku yakipekeee nimempiga mzungu milioni 11Nipo nakunywa bia hapa tabata bima forty forty.

Naombeni mnijulishe kiwanja kingine chenye watoto wakali wakuuu.

Nikatumie walau laki6 tu.

Natanguliza shukrani zangu za zati
Cc: miss chagga

Sent from my Osborne II using JamiiForums Mobile App
 
hayo ndo matumizi mazuri ya hela ya kamari
 
Back
Top Bottom