Naombeni mnikaribishe kwa shangwe pia mnitambulishe wapenzi wenu humu

Umbuju

Member
Joined
Jan 27, 2019
Posts
79
Reaction score
78
Hodi hodi waungwana..

NATAKA KUIFANYA JAMII FORUM IWE KAMA TORONTOO

Niambieni ni mambo gani naruhusiwa kufanya na nisiyoruhusiwa kufanya
Jamii forums ?

Ni watu gani maarufu humu jamii forum jamani?
 
Karibu humu uzi tu hayo mengine umedanganywa

Na kama ukileta uzi usilete migumu migumu kama sijui korosho hazijabanguliwa au sijui spika na prof Assad wanavutana au sijui o tunaelekea uchumi wa viwanda hayo wachie wabunge watayajadili

Humu lete nyuzi laini laini hasa zinazousiana na kugegeda
Ni hayo tu karibu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asanteni sana wandugu naona mapokezi yanazidi kuwa mazuri
 
Hodi hodi waungwana..

NATAKA KUIFANYA JAMII FORUM IWE KAMA TORONTOO

Niambieni ni mambo gani naruhusiwa kufanya na nisiyoruhusiwa kufanya
Jamii forums ?

Ni watu gani maarufu humu jamii forum jamani?
Unatumia togwa gani? karibu humu.
 
Hodi hodi waungwana..

NATAKA KUIFANYA JAMII FORUM IWE KAMA TORONTOO

Niambieni ni mambo gani naruhusiwa kufanya na nisiyoruhusiwa kufanya
Jamii forums ?

Ni watu gani maarufu humu jamii forum jamani?
Kama Torontooo tuuu

Jr[emoji769]
 
Karibu humu uzi tu hayo mengine umedanganywa

Na kama ukileta uzi usilete migumu migumu kama sijui korosho hazijabanguliwa au sijui spika na prof Assad wanavutana au sijui o tunaelekea uchumi wa viwanda hayo wachie wabunge watayajadili

Humu lete nyuzi laini laini hasa zinazousiana na kugegeda
Ni hayo tu karibu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaah
 
Back
Top Bottom