Naombeni mnikaribishe kwa shangwe pia mnitambulishe wapenzi wenu humu

Naombeni mnikaribishe kwa shangwe pia mnitambulishe wapenzi wenu humu

same old stories hakuna jipya....

angalia tu katika kuni quote usijisahau ukatumia ID yako kongwe

Mapya yapo mengi sana toka hapo ulipo utakutana na mapya mengi sana.
Mbona kama kinakuuma mimi kuja hapa jamii forum wacha roho mbaya we mtu,mitandao kama hii kila dakika watu wapya wanajiunga tena jamii forum wapo wengi wanaoitumia bila kuwa member mmoja wapo ni mimi hapa.
Lakini kwa sasa nimepata ushawishi wa kujiunga
 
Karibu humu uzi tu hayo mengine umedanganywa

Hahaha Na kama ukileta uzi usilete migumu migumu kama sijui korosho hazijabanguliwa au sijui spika na prof Assad wanavutana au sijui o tunaelekea uchumi wa viwanda hayo wachie wabunge watayajadili

Humu lete nyuzi laini laini hasa zinazousiana na kugegeda
Ni hayo tu karibu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe mzee
 
Ngoja nimalize kuoga kwanza nimehisi humu harufu ya jasho la beberu
tapatalk_1548013729241.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom