Cyrill rogath
Member
- Mar 7, 2019
- 6
- 3
Naitaji kujua karanga za dodoma zipo katika hali gani juu ya soko lake na bei zake kwa kilo moja?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei ni chee saiv..... Japo mwaka huu c nyingiNaitaji kujua karanga za dodoma zipo katika hali gani juu ya soko lake na bei zake kwa kilo moja?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mwaka huu mazao yatakua na pesa sana hasa mpunga na maharage, maana maeneo mengi watu hawatopata mavuno ya kutosha hivo kutakua na uhaba kama unaweza kuweka stock ya hayo mazao utapiga noti kiaina huku ukisubiri uchaguzi mkuu 2020
Asee hakuna mwaka maharage mengi kama mwaka huu hauna data kamili mkuu
Chimba uende mpaka vijijini utanambia acha kutabili kama shekh yahaya
Sent using Jamii Forums mobile app