Naombeni mnipokee Mimi mgeni

Taja I'd yako ya zaman ....then karibu
 
-Karibu zingatia yafuatayo-

*Lugha ya matusi haitakiwi, itapelekea upigwe ban.

*Namecalling hairuhusiwi, itapelekea upigwe ban.

*Maswala ya PM hayatakiwi kuletwa jukwaani, itapelekea upigwe ban.

*Kuandika ki-FB siyo kosa ila members wengi wanakerwa na huo mtindo. Mfano 'Usiku' kuandika 'Uck' au 'Vizuri' ukaandika 'Vzr'

*Tuma picha yako na namba ya simu ili kukamilisha usajili.
 
Pata kupitia sheria za hapa, karibu
 
Asante mkuu nime kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…