ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,767
- 6,575
Waungwana naombeni mnikaribishe ni mwana jf mpya!.
tumia jukwaa la utambulisho mkuu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waungwana naombeni mnikaribishe ni mwana jf mpya!.
thanx a lot!.
Karibu sana. Ila nakuomba sana uepukane na matusi ya bavicha.
Karibu mkuu busara muhimu sana. Linalokufaa chukua kama unaushahidinalo kamahuna uc liseme.
we hufai J.F mbona umekuja na swaga zako za F.B! Kwani ungeandika 'thanks' instead of 'thanx' vidole vingejifungua? by the way karibu ila acha mitabia yako ya F.B. WELCOME THE HOME OF GREAT THINKERS!
Karibu sana. Ila nakuomba sana uepukane na matusi ya bavicha.
karibu jombaa.
una nalo hili, UVCCM na green guard hawana matusi!
Goma son karibu,ila uwe unatoa hoja zisizo rojorojo kama mchuzi wa utumbo,udaku humu hautakiwi,vinginevyo wanajamvi watakufungulia mlango uende facebook na ukajiachie na unconstructive ideas huko.
:target:
Ulikuwa wapi hadi ACT limeazishwa chini ya mwenyekiti wa muda Ng'wanapagi?
karibu sana ila ,umeshachukua kadi ya chama cha wazalendo ACT?
Waungwana naombeni mnikaribishe ni mwana jf mpya!.