Naombeni mnipokee wana MMU

Naombeni mnipokee wana MMU

Gogobaby

Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
55
Reaction score
3
Mimi ni mgeni kwenye jamvi hili nmehamasika sana na mada zenu nafikiri ntajifunza mengi nikiwa hapa, naombeni mnipokee tuungane pamoja!
 
Karibu mwanajf, jisikie upo nyumbani kabisa. Watu humu JF ni wakarimu sana.
 
Mimi ni mgeni kwenye jamvi hili nmehamasika sana na mada zenu nafikiri ntajifunza mengi nikiwa hapa, naombeni mnipokee tuungane pamoja!


Karibu.
 

Attachments

  • images(3).jpeg
    images(3).jpeg
    5.9 KB · Views: 85
Mapema kabisaaaaa tuwekeeee Marital status yako hapa ila kama una-fall kwenye category zifuatazo basi wewe ni wa kwangu, the rest naomba mniachie huyu Bidada
  • Hujawahi kulala na mwanamme
  • Divorced at least for a night
  • Widow
 
Asante nimeona mlvyokuwa wakarm wana jf nawapenda saaaaaaaaaaaaaaana
 
Karibu bibie,mimi ni monita wa humu ndani. Atakaekusumbua uniambie
 
Back
Top Bottom