Naombeni mnisaidie formula ya excel

Naombeni mnisaidie formula ya excel

R-K-O

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2023
Posts
482
Reaction score
2,178
Naombeni mnisaidie formula ya kurahisisha kupata haya majibu kwenye excel.

Kila Box lina chupa 3, chupa 1 ni 0.1, chupa 2 ni 0.2, chupa 3 ni 0.3 sawa na box.

1 ni box moja, 1.1 ni box 1 na unit 1, 2.2 ni box 2 na unit 2, n.k.

1689685328866.png


Box zikiwa 10 zikitoka 4 jibu liwe 6
Box zikiwa 8 zikitoka 3.3 jibu liwe 4
Box zikiwa 7 zikitoka 6.2 jibu liwe 0.1
Box zikiwa 6 zikitoka 5.1 jibu liwe 0.2
Box zikiwa 5 zikitoka 4 jibu liwe 1
Box zikiwa 4 zikitoka 2.1 jibu liwe 1.2
 
Simple andika namba ya cell boks zilizipo kisha - boks zilizotoka

Itatoa jibu safi kbs
 
Hii hesabu lazima kwanza uwe umeitengeneza chini kabla ya kuweka formula mf.
X zipo 10
Ila X moja ni = Y
Ikiwa Y nisawasawa na 2
X kutoa toa 7
Jibu 13
 
Back
Top Bottom