Gerald Chaz Member Joined Jan 1, 2023 Posts 5 Reaction score 2 Jan 4, 2023 #1 Natamani kulima maboga ila sijui kanuni kuanzia mbegu,udongo,msimu mzuri wa kulima na soko
BARA BARA YA 5 JF-Expert Member Joined Sep 11, 2009 Posts 1,174 Reaction score 835 Nov 28, 2023 #2 Msimu hakikisha unakutana na mwezi mtukufu wa Ramadhan wakati wa kuvuna
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 29, 2023 #3 Ngoja waje kukupa muongozo...
T Tangantika JF-Expert Member Joined Aug 12, 2018 Posts 5,586 Reaction score 7,087 Dec 2, 2023 #4 Gerald Chaz said: Natamani kulima maboga ila sijui kanuni kuanzia mbegu,udongo,msimu mzuri wa kulima na soko Click to expand... Mkuu. Nakusaidia tu. Tafuta maboga ya mbegu. Achana na ta chakula ila kama unamifugo. Huu mchongo wanapiga watu wa njombe. Debe la mbegu hufika hadi elf 30. Wengi huchanganya kwenye mahindi.
Gerald Chaz said: Natamani kulima maboga ila sijui kanuni kuanzia mbegu,udongo,msimu mzuri wa kulima na soko Click to expand... Mkuu. Nakusaidia tu. Tafuta maboga ya mbegu. Achana na ta chakula ila kama unamifugo. Huu mchongo wanapiga watu wa njombe. Debe la mbegu hufika hadi elf 30. Wengi huchanganya kwenye mahindi.