Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,467
- 3,687
Njoo InboxNdugu wana jf, mm ni mwanafunzi wa chuo kikuu ,nimekwama ada kiasi cha laki 2 , aliye tayar kunikopesha kwa dhamana hata ya chet cha form 4 & 6 ,au mashart mengine yasiwe magumu ,naomba anisaidie ,nina docs Zote,
Asanteni
Nimekujibu pm , siku hiz nchi yetu imeharibika sanapole sana.unasoma chuo gani?mwaka wa ngapi?course gani?
NimekujaNjoo Inbox
Unanipa ulakini!Nimekujibu pm , siku hiz nchi yetu imeharibika sana
OkUnanipa ulakini!
Bado mkuuUmeshafinikiwa?