Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,467
- 3,687
Ndugu wana jf, mm ni mwanafunzi wa chuo kikuu ,nimekwama ada kiasi cha laki 2 , aliye tayar kunikopesha kwa dhamana hata ya chet cha form 4 & 6 ,au mashart mengine yasiwe magumu ,naomba anisaidie ,nina docs Zote,
Asanteni
Asanteni