Naombeni mnisaidie njia nyepesi ya kumwachisha mtoto kunyonya

Naombeni mnisaidie njia nyepesi ya kumwachisha mtoto kunyonya

mkabasia

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
2,966
Reaction score
2,634
Habarini za asubuhi wapendwa. Mtoto wangu anafikisha miaka miwili mwezi huu, nataka kumwachisha kunyonya ila ni mbishi balaa.Last week nlipaka alovera lkn akanyonya ivoivo, nkajaribu kuweka plasta iyo cku hakunyonya kutwa nzima.Ucku alilia mpka ikabid ntoe last a anyonye.Naombeni (esp.women) mnisaidie njia nyingine.NB This is my first born.
 
Pakaza pilipili kwenye chuchu mpe anyonye. Mara 2 tu ataacha mwenyewe
 
Mrembo muache mtoto anyonye ukimuachisha now haisaidii kwani baba yake atachukua nafasi yake kie kie kie
 
Acha dogo agonge nyonyo hadi miaka 2.5. Kuna baadhi huwa wanawapeleka kwa ndugu zao angalau wiki moja bila kuoanana na mama yake
 
Lipake shubiri kidogo na hakikisha hakuoni unapolipaka kama mara mbili tu atalitema bila kupenda
 
Mwache mtoto anyonye bana. miaka 2 bado sana. mbona baba yake ananyonya hadi Leo?
 
kama yapo mwache anyonye, mbona mzee ananyonya hata kama maziwa hakuna ndo iwe mwanao jamani ?.......mpe tam
 
Weka plasta tena! Usimuonee huruma akiwa analilia kunyonya ila hakikisha unamuandalia maziwa au chai au maji ili badala ya maziwa ya mama apate hivyo then atazoea
 
Weka plasta tena! Usimuonee huruma akiwa analilia kunyonya ila hakikisha unamuandalia maziwa au chai au maji ili badala ya maziwa ya mama apate hivyo then atazoea

Nashukuru, last tym nlishindwa kwa ajili ya kuonea huruma.
 
Nlishapaka akanyonya ivo ivo.

Ondoka na umuache at least one week or muondoe asikuone at least one week! Baada ya hapo ataanza kuona aibu kudai nyonyo huku nawe unamkazia haumpi!
...
Miaka miwili nyonyo linakuwa la baba! Teh teh teh!
 
Back
Top Bottom