mkabasia
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 2,966
- 2,634
Habarini za asubuhi wapendwa. Mtoto wangu anafikisha miaka miwili mwezi huu, nataka kumwachisha kunyonya ila ni mbishi balaa.Last week nlipaka alovera lkn akanyonya ivoivo, nkajaribu kuweka plasta iyo cku hakunyonya kutwa nzima.Ucku alilia mpka ikabid ntoe last a anyonye.Naombeni (esp.women) mnisaidie njia nyingine.NB This is my first born.