Nlishapaka akanyonya ivo ivo.
kama yapo mwache anyonye, mbona mzee ananyonya hata kama maziwa hakuna ndo iwe mwanao jamani ?.......mpe tam
Hahaha jmn miaka miwili ivo ndo inafika keshokutwa.
Pakaza pilipili kwenye chuchu mpe anyonye. Mara 2 tu ataacha mwenyewe
Nlishapaka akanyonya ivo ivo.