Naombeni mnisaidie Roma Mkatoliki ni nani, means wasifu wake

Nini jina kamili la roma mzaliwa wa wapi elimu yake ni ipi dini yake nini kabila lake lepi na kwa sasa anafanya nini?
 
Kabila na dini tena?
kumbe vibaya kuliza dini na kabila mkuu
lakini pale tunapohajiwa police au gest huwa pia twauliza dini na kabila au ni kama HALI YA NCHI ATAKESEMA KUNA NJAA ATAKIONA
 
roma ni mwana hip hop ambaye juzi kati alitekwa na kuchukuliwa uvulana wake na watot wa mjini
inasemakan lakn
 
Dah Roma mwanaharakati si mwanahisabati
Leta difender leta wajeda
Yalikua n maneno take katika wimbo Wa viva Roma viva nimsanii aliyezungumza maneno ya kishujaa Sana lakini alipotea na kurud ni Kama binadam Wa kawaida akichukuliwa msukule alaf akarudishwa hataweza kuwa na akili timamu tena
 
Nisaidieni wasifu wake.

Wewe si ndo roma mwenyewe uliyejiteka?..kiki imebuma umebaki kupost uporoto tu humu..mara unatutumia video unaimba kwaya mara unatuma video unaimba taarabu..upuuzi mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…