kali popote
JF-Expert Member
- May 3, 2017
- 394
- 281
Nisaidieni wasifu wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OohoooooooNi kijana anajishughulisha na mziki wa kufoka foka juzi kati kunatetesi kwamba alijiteka.
Kabila na dini tena?Nini jina kamili la roma mzaliwa wa wapi elimu yake ni ipi dini yake nini kabila lake lepi na kwa sasa anafanya nini?
Bashite na Mwakyembe wanamjua vyemaNini jina kamili la roma mzaliwa wa wapi elimu yake ni ipi dini yake nini kabila lake lepi na kwa sasa anafanya nini?
kumbe vibaya kuliza dini na kabila mkuuKabila na dini tena?
Kama unayo namba ya mmoja ktk hao tufanyie msaada tumuulizie tafadhariBashite na Mwakyembe wanamjua vyema
Nisaidieni wasifu wake.