poleni na michakato yote wakuu..ninasehemu nimepata nataka niwe natengeneza juice..naomben mwenyekujua mashine yakukamulia juice ya muwa naweza pata kwa gharama ipi?pia kuna ile mashine yakutunzia juice huku inakorogwa inauzwa bei gani?lakini pia nawaza niwe napaki..
Naombeni mwongozo wenu.
Naombeni mwongozo wenu.