Umefanikiwa kujenga lakini wewe Ni mpumbavu. Halafu ujue upumbavu Ni kipaji Kama urefu, ufupi , weusi nk. Yaani nichakudumu.
Utamruhusu vipi MTU aingie bila Kodi ya miezi sita?
Umekubali kindezindezi kwamba kweli wapangaji wamemlipa MTU Baki wewe mwenye nyumba uko bar.