kindikinyer leborosier
JF-Expert Member
- Jan 6, 2018
- 456
- 833
Huyo wa ECA aspecialize kwenye Accounting au Banking and Finance, Huyo wa PCM aspecialize Architecture itamsaidiahello habarini wanajamvi... poleni na majukumu ya kila siku..
.
.
miaka ya nyuma niliomba ushauri humu humu jukwaani kuhusu wadogo zangu wawili wa kike, ili kulipa fadhila ya msaada niliopewa kielimu mimi binafsi.
.
matokeo wiki hii yametoka,
1. alisoma ECA amepata div 1 ya points 8
2. alisoma PCM amepata div 3 ya points 13 (EDD), nambeni mnisaidie ushauri wa cozi watakazosoma wanajamvi.
.
.
Asanteni
asante!Huyo wa ECA aspecialize kwenye Accounting au Banking and Finance, Huyo wa PCM aspecialize Architecture itamsaidia
Karibuasante!
Huyo aliyesoma PCM nakushauri aende akasome Bachelor of Technical Education in Civil engineering or Bachelor of Technical Education in Architectural and Technology or Bachelor of Technical Education in Mechanical engineering,Hello habarini wanajamv, poleni na majukumu ya kila siku.
Miaka ya nyuma niliomba ushauri humu humu jukwaani kuhusu wadogo zangu wawili wa kike, ili kulipa fadhila ya msaada niliopewa kielimu mimi binafsi.
Matokeo wiki hii yametoka:
1. Alisoma ECA amepata div 1 ya points 8
2. Alisoma PCM amepata div 3 ya points 13 (EDD), nambeni mnisaidie ushauri wa kozi watakazosoma wanajamvi.
Asanteni.