Naombeni movie ya aina hii

Naombeni movie ya aina hii

watu wanasafiri na gari inakwama kwenye jangwa, hilo jangwa lina mutants wanaokula watu, bila msaada wowote wanafight wenyewe
Mkuu hii Human Centipede nasikia inahitaji moyo mgumu kweli kuangalia...?!!!
 
Angalia Human Centipede (1-3)

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu uliweza kuzicheki mpaka mwisho kweli maana nimesoma tu naona uwe na "tumbo gumu" au moyo mgumu...
Ni "mad scientist" anayewaunganisha watu kwa operasheni kwa kuunganisha mdomo wa mtu na anus ya mtu mwingine, hivyohivyo ili wafanane na mdudu tandu, ndio title "human centipede"...
 
Back
Top Bottom