sanga misuka
Member
- Aug 24, 2017
- 49
- 61
Naombeni msaada wenu tafadhali nina tatzo la kuziba PUA mara kwa mara kutokana na kuwa na mafua mepesi hii hutokea wakati wa BARIDI na nikinywa MAJI YA BARIDI SANA , ni kwa muda mrefu na PIA nina tatzo la KUJAA MATE MDOMONI WAKATI WOTE.,.. ...naomben msaada wa TIBA ASILI/LISHE/mitishamba. ..... na au /(antibiotics)
@==============@
@==============@