Mkuu mkataba wenu ni miaka mingapi na unatakiwa mkataba ukiisha uwe umelipa shi ngapi? Ukilijua hilo nadhani utaona jinsi gani wako sahihi. Mfano mkataba ni miaka mi tatu na uwe umelipa 3m so kama mpaka sasa umelipa let say 2m na unataka sitisha mkataba then wape hiyo iliyobaki then pita vile.