Naombeni msaada hapa kwa watu ambao wamewahi kukopa Bayport

Naombeni msaada hapa kwa watu ambao wamewahi kukopa Bayport

Mkuu mkataba wenu ni miaka mingapi na unatakiwa mkataba ukiisha uwe umelipa shi ngapi? Ukilijua hilo nadhani utaona jinsi gani wako sahihi. Mfano mkataba ni miaka mi tatu na uwe umelipa 3m so kama mpaka sasa umelipa let say 2m na unataka sitisha mkataba then wape hiyo iliyobaki then pita vile.
Ni sahihi,na hiyo hata mabank wanafanya hivyo hivyo,wakikupa balance usitegemee kuwa watakupa punguzo! Kikubwa apambane aipate hiyo 3M,akamalizane nao
 
Daaah umeyakanyaga mkuu pole Sana hao jamaa ni wezi
Sio wezi mkuu,ila riba zao ni kubwa kuliko bank,maana Bayport ni kama microfinance tu,wanakopa kwenye mabank,nao wanakuja kuwakopesha wateja,kwa hiyo riba lazima iwe kubwa
 
Back
Top Bottom