Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante sana mkuuPia,ukiulizwa swali usi jibu simple toa na mifano
Confidence! Jiamini kabisa na uoneshe kwa ishara ,usijibu maswali kama roboti hata ukiwa umekaa hakikisha mikono macho na vitu vingine vina move kwa kuonesha vitendo na ishara hasa mikono ukiwa unajieleza! Ukiganda sana utajikuta una tetemeka!Habari wadau,
Mimi ni graduate wa food science mwaka jana sijawahi fanya interview kabisa kwenye maisha yangu.
Nimebahatika kupita written kwenda oral nafasi ya nutritional officer naombeni muongozo wenu, na maswali nayoweza ulizwa.
mkuu asante sana, ubarikiweConfidence! Jiamini kabisa na uoneshe kwa ishara ,usijibu maswali kama roboti hata ukiwa umekaa hakikisha mikono macho na vitu vingine vina move kwa kuonesha vitendo na ishara hasa mikono ukiwa unajieleza! Ukiganda sana utajikuta una tetemeka!
Zingatia muda! Wanamchezo wa kukwambia wana maswali kadhaa na muda wako ni dakika kadhaa! Kwa hiyo hakikisha kuwa unafanya time management kwa kujibu maswali kwa uhakika na sharp kidogo mfano swali la tell us about your self lisikuchukulie zaidi ya dakika mbili na ikiwezekana kalipange kabisa kwenye daftari in short na uliweze kulieleza ndani ya dakika mbili au tatu maana wale hawajali kama utatumia muda wote kujieleza tuu halafu watamwambia umabakiwa na maswali manne na dakika unazo kumi tuu…kwa hiyo unatakiwa time manager mkubwa hawaongezi muda ukiisha!
Answers with Examples…. Hakikisha ikiwezekana unapojibu maswali yao unaweka na mifano kabisa na unapojibu waangalie usoni bila kujali unakwenda chaka au lah elezea kwa undani usikubali kujibu juu juu kabisa usikubali!
Usithubutu kusema sijui! Hakikisha kila swali unajibu usikubali mbele ya pannel kunyanyua mikono juu kwa kusema sijui..hakikisha unapata cha kuongea usikubali kunyanyua mikono…. Hata wakiguna au kucheka wewe endelea kuchapa na kujibu maswali….
Hakikisha unajibu maswali yote na hata itategemea na jinsi unavyofanya management ya muda toka mwanzo na kutokubali kutojibu swali kisa hulijui…usikubali kuondoka hujajibu swali maana kuacha swali ni kujitoa kwenye mchezo…
Brother inaonyesha unauzoefu sana na interview, respect sana.Confidence! Jiamini kabisa na uoneshe kwa ishara ,usijibu maswali kama roboti hata ukiwa umekaa hakikisha mikono macho na vitu vingine vina move kwa kuonesha vitendo na ishara hasa mikono ukiwa unajieleza! Ukiganda sana utajikuta una tetemeka!
Zingatia muda! Wanamchezo wa kukwambia wana maswali kadhaa na muda wako ni dakika kadhaa! Kwa hiyo hakikisha kuwa unafanya time management kwa kujibu maswali kwa uhakika na sharp kidogo mfano swali la tell us about your self lisikuchukulie zaidi ya dakika mbili na ikiwezekana kalipange kabisa kwenye daftari in short na uliweze kulieleza ndani ya dakika mbili au tatu maana wale hawajali kama utatumia muda wote kujieleza tuu halafu watamwambia umabakiwa na maswali manne na dakika unazo kumi tuu…kwa hiyo unatakiwa time manager mkubwa hawaongezi muda ukiisha!
Answers with Examples…. Hakikisha ikiwezekana unapojibu maswali yao unaweka na mifano kabisa na unapojibu waangalie usoni bila kujali unakwenda chaka au lah elezea kwa undani usikubali kujibu juu juu kabisa usikubali!
Usithubutu kusema sijui! Hakikisha kila swali unajibu usikubali mbele ya pannel kunyanyua mikono juu kwa kusema sijui..hakikisha unapata cha kuongea usikubali kunyanyua mikono…. Hata wakiguna au kucheka wewe endelea kuchapa na kujibu maswali….
Hakikisha unajibu maswali yote na hata itategemea na jinsi unavyofanya management ya muda toka mwanzo na kutokubali kutojibu swali kisa hulijui…usikubali kuondoka hujajibu swali maana kuacha swali ni kujitoa kwenye mchezo…
umetisha mkuuConfidence:usiweke mikono mfukoni and stand straight look directly on their faces to gain confidence
Introduce yourself:tell them about your past present and future eg: my name Is x I graduated primary school at secondary school at university at and year of completion then currently I'm working as food technicians at bakhresa group as quality control but I have worked as a nutritionist at AZAM sports I would like to increase my education to be more competent and relevant to gradual change and work hard to reach my dreams
Answer their questions shortly and clearly.
Dress smart vaa miwani vaa saa appearence take 80% of self confidence and communication skills.
Do you have any questions to us: ulizia baada ya interview majibu yanatarajia kutoka baada ya mda gani alamsik.
Hahahaha utumishi walinikanda sana kipindi hicho ndio mfumo huu unaanza nilikula za uso kama mara mbili na ya tatu nikatoboa!Brother inaonyesha unauzoefu sana na interview, respect sana.
Angalia kwenye PDF uliyo itwa wameainishaNauliza wadau Oral interview ya Afisa Lishe Mkoa wa Dodoma inafanyika wapi maana nikiangalia Ajira Portal sioni kitu
Soma hapaNauliza wadau Oral interview ya Afisa Lishe Mkoa wa Dodoma inafanyika wapi maana nikiangalia Ajira Portal sioni kitu
Asante ila wamesema tu Employer ni Mkoa wa Dodoma ila sehemu ya kufanyia usaili wa mahojiano hawajataja.Angalia kwenye PDF uliyo itwa wameainisha
Nkianza na elimu yangu ya chuo,experiences na skills mbalmbal bla kutaja jna langu shule za sekondari katka swali la introduce yourself ntakua nmekosea?Confidence:usiweke mikono mfukoni and stand straight look directly on their faces to gain confidence