Naombeni msaada, hii ni mara yangu ya kwanza kufanya usaili wa oral Utumishi

Nkianza na elimu yangu ya chuo,experiences na skills mbalmbal bla kutaja jna langu shule za sekondari katka swali la introduce yourself ntakua nmekosea?
Kiufupi mpaka unaenda pale wanajua kila kitu kuhusu ww ila ni utaratibu tu mkuu hata usipotaja jina ni sawa ila itakuwa umejipungizia credit kwao.
 
Concur with u
 
Kiufupi mpaka unaenda pale wanajua kila kitu kuhusu ww ila ni utaratibu tu mkuu hata usipotaja jina ni sawa ila itakuwa umejipungizia credit kwao.
Hakika
 
Bro nmepata kazi asante kwa maelekezo nilizingatia yote ubarikiwe Sana, I hope huu uzi uwasaidie na wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…