Naombeni msaada ivi kunauwezekano ukapiga ultra sound then mimba isionekane angali unaziona dalili za mimba?

Damu kutoka in early pregnancy pia ni dalili ya implantation, embryo anapojiatach kwenye ukuta wa uterus huwa bleeding sometimes inatokea so kwangu naiona kama implantation bleeding
Implantaion inaweza kusababisha pia maumivu kweny tumbo kwa ndani ??
Tumbo kama lina choma choma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…