WIZZY BABILON 94
Member
- Jul 9, 2015
- 35
- 14
- Thread starter
- #21
Implantaion inaweza kusababisha pia maumivu kweny tumbo kwa ndani ??Damu kutoka in early pregnancy pia ni dalili ya implantation, embryo anapojiatach kwenye ukuta wa uterus huwa bleeding sometimes inatokea so kwangu naiona kama implantation bleeding
Tumbo kama lina choma choma?