Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maana gani?Jamani wana JF hivi mnalizungumziaje swala la wapendanao kuwa na dini tofauti?linamadhara gani?faida yake je?vipi kuhusu wazazi kama hawabariki swala hilo ni uamuzi gani unafaa?dini je? nisaidieni jaman maana me mwenzenu hili jambo vizuri.
Una maana gani?
Rudi idogo nyuma kabla ya kuja kwa dini za wazungu, je unadhani kikwazo hiki kilikuwepo?
Pia inategemeana na hatima ya hao wapendanao ninini!...kama ni pass-time haina shida, ishu huenda ikaanza kuleta complication wakati wa kuchumbiana hatimaye kuoana!
Hata hivyo haitakiwi kuleta shida iwapo wahusika wataweka sawa mambo yote kabla ya kuingia kwenye hatua hizo.