Mwambie awe kama anakunywa chai aweke limao halafu aepuke kula mlo mkubwa kwa mkupuo, awe anakula kiasi kidogo kwa kuachia kwa muda fulani. Pia apendelee kula snack zisizo na mafuta mengi hapohapo azingatie mlo kamili "EATING FOR TWO" Huu mtiti nimeumaliza hivi karibuni japokuwa sikutapika ila kichefuchefu hadi unatamani kutokula. NB:zile dawa suppliment ya vitamin anazopewa mjamzito clinic huwa zinatia kichefuchefu sana asiache kuzinywa ni muhimu sana bali badala ya kunywa asubuhi anywe usiku wakati wa kwenda kulala