Supervisor
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 559
- 208
Habari wana jf. Kwanza naomba niwatakie Heri ya X-Mass wote. Shida yangu ni moja tu. Nimeoa hivi karibuni na Mke wangu kwa bahati nzuri hv karibuni amefanikiwa kuwa pregnant. Sasa tatizo analokumbana nalo ni kichefuchefu cha kupindukia, ni kwel ni hali ya kawaida kama alivyoambiwa hospital lakni inakuwa ni too much. Sasa kila anachokula anatapika tu hata vile anavyokuwa na hamu navyo. Je? Jamani hakuna hakuna njia yeyote ya ku solve tatizo hili? Hapa alipo analala njaa baada ya kutapika sana. Pls help....