mnyalutanana
Member
- Nov 3, 2012
- 55
- 18
pole sana mnyalutanana kazi tanzania ni tatizo kubwa sana...mimi ilinichukua miaka 2 tangu kumaliza chuo kupata kibarua.
nakumbuka ndani ya miezi 6 ya kwanza niliamua kulima mbogamboga walau nipate hela ya vocha na matumizi mengine nikajikuta nafanya hiyo kwa zaidi ya mwaka nikaweza kuishi
wewe hapo ulipo kama kuna nafasi jiajiri kwa kazi ambayo haihitaji mtaji mkubwa huku ukiwa unahaingaika
pole sana mnyalutanana kazi tanzania ni tatizo kubwa sana...mimi ilinichukua miaka 2 tangu kumaliza chuo kupata kibarua.
Nakumbuka ndani ya miezi 6 ya kwanza niliamua kulima mbogamboga walau nipate hela ya vocha na matumizi mengine nikajikuta nafanya hiyo kwa zaidi ya mwaka nikaweza kuishi
wewe hapo ulipo kama kuna nafasi jiajiri kwa kazi ambayo haihitaji mtaji mkubwa huku ukiwa unahaingaika