Naombeni msaada jf

Naombeni msaada jf

mnyalutanana

Member
Joined
Nov 3, 2012
Posts
55
Reaction score
18
Mimi nilihitimu chuo kikuu mwaka 2011, nimesomea uhasibu, so far nimetafuta kaz bila mafanikio. Natafuta sehemu ya kuvolunteer.Please naombeni support yenu wana jf
 
pole sana mnyalutanana kazi tanzania ni tatizo kubwa sana...mimi ilinichukua miaka 2 tangu kumaliza chuo kupata kibarua.
nakumbuka ndani ya miezi 6 ya kwanza niliamua kulima mbogamboga walau nipate hela ya vocha na matumizi mengine nikajikuta nafanya hiyo kwa zaidi ya mwaka nikaweza kuishi
wewe hapo ulipo kama kuna nafasi jiajiri kwa kazi ambayo haihitaji mtaji mkubwa huku ukiwa unahaingaika
 
Mweh!
Pole Dadangu!!...Kweli Kila Kitu, Ni Mapito!!
 
Kuomba kwa kufunga kunaweza kuleta majibu sahihi mapema, mtumaini Mungu siku zote. Hivi ulishawahi kuugoogle ktk mtandao kampuni na mabenki tofauti ukachukua address halafu ukaomba bila wao kutangaza hizo nafasi? me kazi yangu ya kwanza nilifanya hivyo na nilifanikiwa kwa staili hiyo, jaribu zaidi ya hiyo utatoka.
 
pole sana mnyalutanana kazi tanzania ni tatizo kubwa sana...mimi ilinichukua miaka 2 tangu kumaliza chuo kupata kibarua.
Nakumbuka ndani ya miezi 6 ya kwanza niliamua kulima mbogamboga walau nipate hela ya vocha na matumizi mengine nikajikuta nafanya hiyo kwa zaidi ya mwaka nikaweza kuishi
wewe hapo ulipo kama kuna nafasi jiajiri kwa kazi ambayo haihitaji mtaji mkubwa huku ukiwa unahaingaika

umemshauri vema sana mama d
ndugu usikate tamaa,destiny yako ipo safi tuh,,keep on prayin
 
Back
Top Bottom