Messenger RNA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,411
- 3,712
Nina macbook toleo Hilo,je nifanyeje iweze kukubali apps za kuanzia 10.14
Natanguliza shukrani
Chief-Mkwawa na wote naombeni msaada wenu wa mawazo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu Chief-Mkwawa ni mmoja wapo,nawewe unaweza kunisaidia ndugu.Natanguliza shukraniHuyo uliyemtag ndo mwenyewe si wengine tunakula gongo ,kangara,konyago,k vant mpk tulewe
Asante mkuu ,japo sijajaribu lakini naambiwa haiwezi kupokea update kufikia 10.14.Update hiyo software
Latest version ya Macbook pro ya 2011 ni 10. 13 aka High Sierra hii ndio official unaweza tumia. So uki update hapo utaweza weka hizo apps.View attachment 3128931
Nina macbook toleo Hilo,je nifanyeje iweze kukubali apps za kuanzia 10.14
Natanguliza shukrani
Chief-Mkwawa na wote naombeni msaada wenu wa mawazo.
Asante sana mkuuLatest version ya Macbook pro ya 2011 ni 10. 13 aka High Sierra hii ndio official unaweza tumia. So uki update hapo utaweza weka hizo apps.
Unofficial unaweza ukaenda latest version tembelea hapa
AsanteAll the best