Naombeni msaada juu ya maambukizi ya ukimwi

Sawa nimekuelewa labda sikuelewa ulicho comment... anyway possibility ya wewe kuupata hapo ni ndogo sana ila kwa uhakika zaidi nenda ukapime kujihakikishia uko safe....
Kuna watu wananiambia et 7bu anatumia ARV hawez kumwambukza mtu asee shetan hana adabu nmekuja kwa Dada yang kumsaidia kajifungua kumbe Dada anayeishi naye mwasirika ila Dada hajui alijinyolea wembe kwapan akaweka ktandan wakat naanua mashuka ndo ukanikata nikamulza akaniambia wakat anajinyoa hakujkata imepta wk xaxa cna wacwac ila Jana nafungua beg lake nakuta ARV yan cjalala kabxa tumechanganyikiwa na hv nshajkata na wembe wake ndonahc akili imeruka kabxa
 
Relax ukimwi huwezi kuupata kiurahisi hivyo.... tena kama anatumia arvs chance ya wewe kuupata bado ipo chini mno kama ujuavyo dawa hizo huwa zinawafubaza hao virusi so na imani upo safe mkuu
 
Habari zenu? Et kama umejikata bahati mbaya na kiwembe kilichotumiwa na mtu aliyeathirika anayetumia ARV kuna uwezekano wa kupata maambukizi japo mwenyew anasema hakujikata na hicho kiwembe ila kumwamin kama hakujikata kwel Bdo vigumu
Ungewahi kupima, ndani ya saa 72 ukionekana hauna maambukizi basi wakuanzishie dozi za PEP
 
Inategemea icho kiwembe kimekaa mda gani toka alipojikata
 
Pole xana aunt uwezokano wa kupata ni mdogo xana vilevile itategemean huu wembe unamuda gan tangia atumia
 
Habari zenu? Et kama umejikata bahati mbaya na kiwembe kilichotumiwa na mtu aliyeathirika anayetumia ARV kuna uwezekano wa kupata maambukizi japo mwenyew anasema hakujikata na hicho kiwembe ila kumwamin kama hakujikata kwel Bdo vigumu
Kutumia vitu vyenye ncha kali kama sindano wembe au visu ni hatari kwa maana vinaongeza uwezekano wa kuambukizwa virus vya ukimwi na hepatitis.

Ili kuambukizwa virus vya ukimwi na hepatitis kwa njia hii ni lazima maji maji toka kwa mgonjwa yenye virus yaungane na maji maji ya mwilini mwako kwa maana hiyo ni lazima uwe umejichubua au umejikata. Bila michubuko au vidonda virus hana uwezo wa kutoboa intact skin.

Matumizi sahihi ya ARV husaidia kupunguza kiwango cha virus mwilini lakini haviishi daima, kwa maana hiyo uwezekano wa maambukizi pia hupungua kidogo japo usidanganyike kuwa hakuna uambukizo.

Kama ni ndani ya saa 72 Nenda VCT au CTC iliyokaribu na wewe kwa uchunguzi. Maana Leo waweza singizia hicho kiwembe Kumbe tayari tangu zamani ulisha pata maambukizo. Kama Huna maambukizi utapewa PEP (post exposure prophylaxis) na kama Una maambukizi tayari utapewa ARV for life. Na kama ni baada ya 72 hrs pia Nenda endapo huna maambukizi utapewa ushauri na kupewa ratiba ya serial check up.

Pole sana
 
Asante masaa 72 yameshapta nlipma mwez wa 10 nlikuwa cna ila muhusika ananiambia hakujikata nacho yy
 
Mlio comment vibaya humu sio vizuri, naijua hali anayopitia huyu Dada jinsi inavyoumiza, yalishanikuta haya masaa matatu niliyaona kama mwaka sikuweza hata kulala ikabidi tu twende hospitali usiku ule, namshukuru mungu Daktari tuliyemkuta alinishauri vizuri
 
Kunywa castle bariiiidi mambo yatakua safi tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukimwi hauambukizwi hivyo tunatumia mashine moja kunyoa kwenye saloon zetu wote tungekuwa waathirika ni kwasababu virusi kwenye hewa ya kawaida hawaishi zaidi ya sekunde 22 huwa wanakufa
 
Ukimwi hauambukizwi hivyo tunatumia mashine moja kunyoa kwenye saloon zetu wote tungekuwa waathirika ni kwasababu virusi kwenye hewa ya kawaida hawaishi zaidi ya sekunde 22 huwa wanakufa


Pokea huu ushauri hata Mimi niliambiwa hivyo hivyo na Daktari siku nilipopata tatizo kama lako
 
Asante my maana hapa najuta kuja kwa Dada angu nachanganyikiwa yan nikimuona huyu Dada ndonazd kuumia naona kama ameniua
 
Huyo doctor alikupa Dawa yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…