Naombeni msaada juu ya maambukizi ya ukimwi

Huyo doctor alikupa Dawa yoyote


Hapana sikupewa sawa yeyote baada ya kumsimulia ilivyokuwa aliniambia siwezi kupata maambukizi na hata nikija kupima nikakutwa na huo ugonjwa basi nitakuwa nilikuwa nao kabla kwasababu hao wadudu wakisha kuwa inje wanakufa ndani ya dakika chache

Kwamaana hiyo ungeweza kupata maambukizi kama huo wembe ungemkata yeye na muda huohuo ukakukata wewe
 
Pouwa my asante
 
Ukimwi hauambukizwi hivyo tunatumia mashine moja kunyoa kwenye saloon zetu wote tungekuwa waathirika ni kwasababu virusi kwenye hewa ya kawaida hawaishi zaidi ya sekunde 22 huwa wanakufa
Virusi havifi nje ya host cell. Bali vina crystallize tu
 
Virusi havifi nje ya host cell. Bali vina crystallize tu
Vinakua hai tena vikipata host (mfano damu) kwa hiyo ukijikata na wembe wa muathirika lazima uwe na wenge hapo vile vijidudu having totally Kama mende namshauri akapime kujiridhisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…