Naombeni msaada katika hili tafadhali

Naombeni msaada katika hili tafadhali

Joined
Oct 29, 2014
Posts
39
Reaction score
4
Mimi ni jinsi ya kiume tatizo langu kubwa ni juu ya mpenzi wangu. Kila tukimaliza kufanya mapenzi (sex) yeye hujihisi maumivu tumboni.

Kwa anae fahamu hii inasababishwa na nini anisaidie
 
Back
Top Bottom