Nadhani hujanielewa!Katika ofisi ninayofanyia kazi kuna watumishi wa aina mbili yaani,wale ambao wana mkataba wa miaka 5 na wale wa miaka 3!Tatizo Mimi niko kwenye mkataba wa miaka 3!Isipokuwa mkataba kwa kuwa umeandikwa kiujumla unadai miaka mitatu Au mitanoWatanzania bhana wakat unaenda ulichekelea sana hukujua gharama alizotumia yeye sasa unaambiwa ufanye kazi unaona kifungo tena, fanya kazi wew.
Kopi ipo imeandikwa miaka 3/5.Hii ni kwa sababu kuna watumishi wa aina mbili.Wale wa miaka mitatu na wa miaka mitanoKwani wewe huna huo mkataba? Ungechukua hata copy yake.