Naombeni msaada katika hili

Naombeni msaada katika hili

UMUNYU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
726
Reaction score
564
Miaka 3 iliyopita nilipata ufadhili wa kusomeshwa huko Ulaya! Kabla sijaenda mwajiri alinitaka nimsainie mkataba kuwa nitakaporejea nitamtumikia kwa miaka mitatu kabla ya kuniruhusu nifanye mambo mengine!

Ajabu nimerudi nimekuta yeye anadai nilisaini bond ya miaka mitano!Naombeni ufafanuzi namna ya kuondokana na kifungo hiki
 
Hicho sio kifungu kawekeza hela kwako fanya kazi mkuu miaka mitano
.... Sio mingi
 
Kwani wewe huna huo mkataba? Ungechukua hata copy yake.
 
Watanzania bhana wakat unaenda ulichekelea sana hukujua gharama alizotumia yeye sasa unaambiwa ufanye kazi unaona kifungo tena, fanya kazi wew.
 
Watanzania bhana wakat unaenda ulichekelea sana hukujua gharama alizotumia yeye sasa unaambiwa ufanye kazi unaona kifungo tena, fanya kazi wew.
Nadhani hujanielewa!Katika ofisi ninayofanyia kazi kuna watumishi wa aina mbili yaani,wale ambao wana mkataba wa miaka 5 na wale wa miaka 3!Tatizo Mimi niko kwenye mkataba wa miaka 3!Isipokuwa mkataba kwa kuwa umeandikwa kiujumla unadai miaka mitatu Au mitano
 
Kwani wewe huna huo mkataba? Ungechukua hata copy yake.
Kopi ipo imeandikwa miaka 3/5.Hii ni kwa sababu kuna watumishi wa aina mbili.Wale wa miaka mitatu na wa miaka mitano
 
Back
Top Bottom