Sultani kambe
Member
- Apr 26, 2012
- 63
- 4
Wana jamvi nimepata matokeo yangu ya form6 nina Div-2HGL, ningeomba ushauri wenu katika kuchagua facult
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana jamvi nimepata matokeo yangu ya form6 nina Div-2HGL, ningeomba ushauri wenu katika kuchagua facult
Wana jamvi nimepata matokeo yangu ya form6 nina Div-2HGL, ningeomba ushauri wenu katika kuchagua facult
Kuchagua FACULTY?Au una maana programme?Nyie kizazi cha dot com mnafurahisha kweli jamani!!
Msimshambulie wakuu, mwelewesheni kwanza cuz hata hafahamu vyuoni kunafanywa nini.hvi ni faculty!sio programme au kozi?
Hakuna zaidi ya Facult of art hapo cha msingi ni kozi gani ndo wataka kwenda kwani we ualimu hupendi?
haya bana hata mm ualimu sikushauri sana kacheki community development ni nzuri
Kuchagua FACULTY?Au una maana programme?Nyie kizazi cha dot com mnafurahisha kweli jamani!!
hiyo community dvt utampa mkopo wewe? Kasome Education kijana wanafunzi wanakuhitaji.