Naombeni msaada kuhusu hili.

Naombeni msaada kuhusu hili.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,437
Reaction score
1,027
Mdogo wangu aliyemaliza form six amekosea kujaza form za TCU katika mfumo wa OLAS.Katika cheti ya cha kuzaliwa inaonekana amezaliwa wilaya ya mbozi lakini katika form za TCU ameandika amezaliwa wilaya ya Tunduma.Alijichanganya kutokana na kwamba katika ile list ya wilaya,mbozi na Tunduma zilikuwa listed kama wilaya mbili tofauti.Nimejaribu ku-edit nimeshindwa kabisa.Nahisi hii ni kutokana na uwezo wangu mdogo katika masuala ya computer,kwa anayejua jinsi ya ku-edit hii kitu,please naomba msaada.
 
Kwanza jua kua TCU hawa deal na forms za makaratasi bali HESLB ndio wana deal na hizo form na viambatanisho vyake kimojawapo ndio Cheti cha kuzaliwa, Kama mmekosea kujaza hizo form Mnaeeza kuedit kwa kulogin katika mtandao wa OLAS kama alivyo fanya wakati wa kujisajiri, baada ya kulogin utaona kunasehemu ya kuedit information then hapo utaweza kubadili hilo jina la wilaya, then print hiyo form iliyo fanyiwa marekebisho. kumbuka kuwa karatasi yenye taarifa za mwanafunzi iko moja yaani page 1 sasa kama page zingine hakukosea haina haja ya kuprint form zote just print huyo page 1 then unganisha na zile 4 zilizo baki.
 
Thanx mkuu kwa ushauri.
 
Mzee hata hutakiwi kuwa na wacwac maana ulichojaza hata hakipo, kwahiyo huwezi kosea ww, mmana hata wao wameweka , a wrong choice
 
Mzee hata hutakiwi kuwa na wacwac maana ulichojaza hata hakipo, kwahiyo huwezi kosea ww, mmana hata wao wameweka , a wrong choice
Basi tu,nilikuwa nahofia wasije wakachukulia ndo sababu ya kumnyima mkopo my young bro.
 
ni kwel man ni v2 vidogo ila vinaeza na impacts kubwa..
 
Back
Top Bottom