Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,437
- 1,027
Mdogo wangu aliyemaliza form six amekosea kujaza form za TCU katika mfumo wa OLAS.Katika cheti ya cha kuzaliwa inaonekana amezaliwa wilaya ya mbozi lakini katika form za TCU ameandika amezaliwa wilaya ya Tunduma.Alijichanganya kutokana na kwamba katika ile list ya wilaya,mbozi na Tunduma zilikuwa listed kama wilaya mbili tofauti.Nimejaribu ku-edit nimeshindwa kabisa.Nahisi hii ni kutokana na uwezo wangu mdogo katika masuala ya computer,kwa anayejua jinsi ya ku-edit hii kitu,please naomba msaada.