Naombeni msaada kuhusu Open University

Naombeni msaada kuhusu Open University

NI CHUO KIZURI. NACHUKUA POST GRADUATE DIPLOMA IN BUSINESS STUDIES. NAOMBA MWENYE MATERIAL YA KOZI HII TUSHIRIKIANE. 0713-039875 AU 0766-643934 .EMAIL:accmoshi@gmail.com
 
Ndg wanajamii Nna mpango wa kusoma open university ya education economics na geogy lkn cna uhakika kuw ntakapomalza degree wizara itantambua kama mwalm sawa na fresh from university ama vp na je uthaman wa degree ya open uko vp ktk suala zma la ajira? ukilngansha na wale wa fresh from universty msaada jaman kwa wale wenye uzoef

Hapo kwenye RED nakusudia kukurekebisha kuwa OUT ni University, tena ni ya serikali kama UDSM, SUA, nk. Hivyo, rekebisha maeneo uliyoandika "fresh from university" as if OUT sio university. Inatofautiana na university uzijuazo kwa mfumo wa usomaji, OUT wanatumia ODL (open and distance learning). Nakutakia kila la heri.
 
Back
Top Bottom