mawazoyangu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 324
- 65
Thanks, nimepata mwanga mzuriMimi si mtaalamu lakini najaribu kutumia simple logic, mtu akifa ndani ya maji si kwamba dakika atakayo kufa tu ndio anapanda juu, isipokuwa itaulazimu mwili huo kukaa masaa kadhaa zaid ya 12 ndio utapanda juu.
Kwa mantiki hiyo ni kwamba ukifa mwili unaanza kuoza kwa seli kuanza kuharibika na kutengeneza kitu kama gasi kwa tumbo kujaa na mwili mzima, hii inafanya mwili kuwa na hewa ya gasi kwandani na kuufanya uwe kama boya, hivyo kuufanya uelee.
Subiri wataalamu waje kudadafua.
Mimi si mtaalamu lakini najaribu kutumia simple logic, mtu akifa ndani ya maji si kwamba dakika atakayo kufa tu ndio anapanda juu, isipokuwa itaulazimu mwili huo kukaa masaa kadhaa zaid ya 12 ndio utapanda juu.
Kwa mantiki hiyo ni kwamba ukifa mwili unaanza kuoza kwa seli kuanza kuharibika na kutengeneza kitu kama gasi kwa tumbo kujaa na mwili mzima, hii inafanya mwili kuwa na hewa ya gasi kwandani na kuufanya uwe kama boya, hivyo kuufanya uelee.
Subiri wataalamu waje kudadafua.
ina shawishi, lakini mimi bado sijakubali vizuri, labda niseme sio kwa binadamu tu ni kwa wanyama wote,
unazungumzia habari za tumbo kujaa hewa lakini hata kama tumbo liko wazi, say kuliwa na samaki wa kubwa ama ndenge, bado huwa mwili unaelea tu
Thanks a lotWhen humans die, they start decomposing immediately and this produces gases as by-products (eg, CO2 and NH3). Since gases are more buoyant than liquids, carcasses (mizoga ya wanyama) and cadaver (maiti za watu) float. Floating occurs when the gas is still inside the carcass or cadaver and its overall density is less than that of the liquid it is in (remember Archimedes Principle???)