Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apo kwenye student RegNo unaeeka zipiOngeza nyama, weka screenshot ya unachopitia.
Dadavua tatizo usaidiwe, usipanick
Pole sana kijana na hongera kwa kuchaguliwa udsm.
Hapo unaingizs registration number ambayo upo kwa admission letter yako............SIO namba ya form 4 mfano 2024-04-12208 hiyo ndo registratioshukrani kaka ngoja niangalie
Shukran kaka ngoja niiangaliePole sana kijana na hongera kwa kuchaguliwa udsm.
Hapo unaingizs registration number ambayo upo kwa admission letter yako............SIO namba ya form 4 mfano 2024-04-12208 hiyo ndo registration number
Huwezi weka ya kwenye mitihani maana hujafanya mtihani wowote wa chuo hapo unaweka namba iliyoko kwenye admission letter hlf unatengeneza password unaingia kufanya malipo na vingine vinavyohitajikaKwenye kutengeneza akaunti ya ARIS naulizwa registration number naweka ya mtihani inakataa
Ani kaka natafta namba hiyo siioni kwenye admission letter yote siioniPole sana kijana na hongera kwa kuchaguliwa udsm.
Hapo unaingizs registration number ambayo upo kwa admission letter yako............SIO namba ya form 4 mfano 2024-04-12208 hiyo ndo registration number
😁😁😁🙏🙏🙏Aris unaweka registration number yako ambayo inaoatikana juu kabisa ya admission letter na kwenye password unaweka jina la babu yako. Sijajua kwa sasa
Aris unaweka registration number yako ambayo inaoatikana juu kabisa ya admission letter na kwenye password unaweka jina la babu yako. Sijajua kwa sasa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Hapo kwenye jina la babu yako nimecheka sana.... Mimi nshazoeaga kutumia Sirname kweli Kizungu ni lugha ya kistaarabuAris unaweka registration number yako ambayo inaoatikana juu kabisa ya admission letter na kwenye password unaweka jina la babu yako. Sijajua kwa sasa
First year mshaanza kuripoti vyuoni??Apo kwenye student RegNo unaeeka zipiView attachment 3130859
Jamaa anatumia Reg No ya sekondari badala ya chuoPole sana kijana na hongera kwa kuchaguliwa udsm.
Hapo unaingizs registration number ambayo upo kwa admission letter yako............SIO namba ya form 4 mfano 2024-04-12208 hiyo ndo registration number
🙏🙏🤣🤣🤣First year mshaanza kuripoti vyuoni??
Sijui kwa Ud ikoje ila chuo nilichosoma ni mpaka ufanye usajili hapo chuo ndo unakua na reg no yako yenye mwaka wako wa masomo, course yako na mwaka wako ndo hiyo eg UDSM/ED/2024/25/....
Unatumia hiyo na password mnayopewa wote labda 1234 ndo hapo unakua umejiregister.
Kama bado hata chuo hujaenda punguza wenge, kama upo chuo na ushafanya registration waone viongozi wa hapo chuo au nenda admission usaidiwe kijana.
Vijana wa first year mwaka huu mna nongwa 😂😂, dogo langu nalo kila mda maswali kama mleta uzi.
mkuu usihangaike sana, ukifika chuo utasaidiwa na mtapewa maelekezo wakati wa orientation inayoanza jumamosiKwenye kutengeneza akaunti ya ARIS naulizwa registration number naweka ya mtihani inakataa
Ehee!! Nilitka nijue angalaau hela kiwang cha chin naweza kwenda nacho ili nisihangaike kakamkuu usihangaike sana, ukifika chuo utasaidiwa na mtapewa maelekezo wakati wa orientation inayoanza jumamosi
kaka admission letter inaambatana na instruction form ya gharama zote, ila unapoanza chuo unatakiwa kulipa nusu ya ada kama unalipiwa na bodi, kiasi walichokupa unakigawa mara mbili then nusu kinachobaki unaongezea coz bodi wanakulipia nusu ya kwanza semister one inayobaki ni semister twoEhee!! Nilitka nijue angalaau hela kiwang cha chin naweza kwenda nacho ili nisihangaike kaka