Kama atataka kusomea masuala ya afya au uhandisi ni heri apite njia ya diploma ila kama atataka kusomea course za masomo ya arts ni heri aende advance.Jamani wasomi hampo mnipe muongozo
AhsanteKama una uwezo wa kumsomesha chuo kwangu mimi naona wazo la mtoto lifanyie kazi kwani ameonesha utayari na interest hivyo anaweza kufanya vizuri kwenye masomo yake.
Pia kwa tathimini fupi ni kwamba, watoto wengi wanaofanya vizuri o level wanapokwenda advance kwa combination ya PCB huwa hawafikii malengo ya kufaulu vizuri na kujikuta wakikwama na mwisho wanajikuta wakisoma kozi ambazo haikuwa lengo
Kama una hela mpeleke akachukue hio koz miaka 3i KCMC.. akimaliza mfungulie kituo mjini au asubiri ajira.Naombeni msaada wa kupewa ushauri
Binti yangu kamaliza mwaka jana form four; matokeo yake yametoka mwaka huu, kapata Divion one ya point 9
Matokeo ya masomo yake
MATH A, BIOLOGY A ENGLISH A, GEOGRAPHY A, HISTORY A, PHYSICS B, CHEMISTRY B, KISWAHILI B,CIVICS B LITERATURE IN ENGLISH B
Yeye anataka kwenda chuo kusomea course ya macho, mimi baba yake nilikuwa nataka akaendele five na six
Nashukhuru bwana, KCMC hivi Ada ni kiasi ganiKama una hela mpeleke akachukue hio koz miaka 3i KCMC.. akimaliza mfungulie kituo mjini au asubiri ajira.
Au
Aende Advance miaka 2 kisha medical doctor 5 kisha achukue hio kozi ya macho kama speacialist miak 2 au 3
Tafta vyuo vinavyotoa hio kozi. Ada ubadirika kila mwakaNashukhuru bwana, KCMC hivi Ada ni kiasi gani
Aende chuo, mengine yatafuata tu.Naombeni msaada wa kupewa ushauri
Binti yangu kamaliza mwaka jana form four; matokeo yake yametoka mwaka huu, kapata Divion one ya point 9
Matokeo ya masomo yake
MATH A, BIOLOGY A ENGLISH A, GEOGRAPHY A, HISTORY A, PHYSICS B, CHEMISTRY B, KISWAHILI B,CIVICS B LITERATURE IN ENGLISH B
Yeye anataka kwenda chuo kusomea course ya macho, mimi baba yake nilikuwa nataka akaendele five na six
Aende PCB please, hiyo course ya macho atakuja kuisomea huko mbele...Naombeni msaada wa kupewa ushauri