Naombeni msaada kwa wazoefu wa masuala ya elimu

Kuboma

Senior Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
154
Reaction score
189
Naombeni msaada wa kupewa ushauri

Binti yangu kamaliza mwaka jana form four; matokeo yake yametoka mwaka huu, kapata Divion one ya point 9

Matokeo ya masomo yake
MATH A, BIOLOGY A ENGLISH A, GEOGRAPHY A, HISTORY A, PHYSICS B, CHEMISTRY B, KISWAHILI B,CIVICS B LITERATURE IN ENGLISH B

Yeye anataka kwenda chuo kusomea course ya macho, mimi baba yake nilikuwa nataka akaendele five na six
 
Jamani wasomi hampo mnipe muongozo
 
Kama una uwezo wa kumsomesha chuo kwangu mimi naona wazo la mtoto lifanyie kazi kwani ameonesha utayari na interest hivyo anaweza kufanya vizuri kwenye masomo yake.
Pia kwa tathimini fupi ni kwamba, watoto wengi wanaofanya vizuri o level wanapokwenda advance kwa combination ya PCB huwa hawafikii malengo ya kufaulu vizuri na kujikuta wakikwama na mwisho wanajikuta wakisoma kozi ambazo haikuwa lengo
 
Five na Six, Shortcut wakati mwingine sio nzuri.
 
Kama una uwezo wa kumsomesha chuo kwangu mimi naona wazo la mtoto lifanyie kazi kwani ameonesha utayari na interest hivyo anaweza kufanya vizuri kwenye masomo yake.
Pia kwa tathimini fupi ni kwamba, watoto wengi wanaofanya vizuri o level wanapokwenda advance kwa combination ya PCB huwa hawafikii malengo ya kufaulu vizuri na kujikuta wakikwama na mwisho wanajikuta wakisoma kozi ambazo haikuwa lengo
Ahsante
 
Naombeni msaada wa kupewa ushauri

Binti yangu kamaliza mwaka jana form four; matokeo yake yametoka mwaka huu, kapata Divion one ya point 9

Matokeo ya masomo yake
MATH A, BIOLOGY A ENGLISH A, GEOGRAPHY A, HISTORY A, PHYSICS B, CHEMISTRY B, KISWAHILI B,CIVICS B LITERATURE IN ENGLISH B

Yeye anataka kwenda chuo kusomea course ya macho, mimi baba yake nilikuwa nataka akaendele five na six
Kama una hela mpeleke akachukue hio koz miaka 3i KCMC.. akimaliza mfungulie kituo mjini au asubiri ajira.

Au
Aende Advance miaka 2 kisha medical doctor 5 kisha achukue hio kozi ya macho kama speacialist miak 2 au 3
 
Nashukhuru bwana, KCMC hivi Ada ni kiasi gani
 
  • Chuo ni kwenda kutafuta ujuzi​
  • Shuleni ni kutafuta taaluma, baadaye ndio uende chuo.​
  • Maisha yanaitaji ujuzi​
  • Kwa level yake, ataanza cheti 1, diploma 2, digrii 3+; kwa hiyo huyu mtu atakuwa ameiva vizuri kwenye hiyo fani; atakuwa bingwa.​
  • Changamoto ni mfuko kutoboka, kuomba mkopo mpaka pale atakapofikia hatua ya digrii.​
 
Naombeni msaada wa kupewa ushauri

Binti yangu kamaliza mwaka jana form four; matokeo yake yametoka mwaka huu, kapata Divion one ya point 9

Matokeo ya masomo yake
MATH A, BIOLOGY A ENGLISH A, GEOGRAPHY A, HISTORY A, PHYSICS B, CHEMISTRY B, KISWAHILI B,CIVICS B LITERATURE IN ENGLISH B

Yeye anataka kwenda chuo kusomea course ya macho, mimi baba yake nilikuwa nataka akaendele five na six
Aende chuo, mengine yatafuata tu.
 
Aende PCB please, hiyo course ya macho atakuja kuisomea huko mbele...
Natamani washauri wawe wametoka kwenye taaluma zaidi kuliko waliopo kwenye kazi nyingine
 
Back
Top Bottom