Mbao za kwenye paa ziko zaidi ya 200Habari za leo. Mbao ni kwa ajili ya matumizi gani. Na wingi wake ni kiasi gani.
sawaTumia dawa ya Mida 200SL kutoka ya Kampuni Osho Chemical Industries Ltd yenye active ingredient Imidacloprid 200g/l
Habari, nilitumia dawa tajwa baada ya siku mbili wadudu walikuwa kmya ila baada ya hapo nawasikia kila siku. Je nirudie tena dawa ama nifanye nini? Leo ni siku ya kumi tangu mipige dawa.Tumia dawa ya Mida 200SL kutoka ya Kampuni Osho Chemical Industries Ltd yenye active ingredient Imidacloprid 200g/l
Vipi mniga ulipata ufumbuzi? Nami napitia janga hili.Habari, nilitumia dawa tajwa baada ya siku mbili wadudu walikuwa kmya ila baada ya hapo nawasikia kila siku. Je nirudie tena dawa ama nifanye nini? Leo ni siku ya kumi tangu mipige dawa.
Dah, Paa lako liko wazi au umeweka gypsum/ceilingboard? Unaweza kuondoa mbao zilizoathirika? Nadhani hii ndio njia sahihi ya kumaliza tatizo. ila kwangu itakua ngumu kuondoa mbao bado naumiza kichwaSalama,Hapana bado.
Mimi pia nshaweka GypsumDah, Paa lako liko wazi au umeweka gypsum/ceilingboard? Unaweza kuondoa mbao zilizoathirika? Nadhani hii ndio njia sahihi ya kumaliza tatizo. ila kwangu itakua ngumu kuondoa mbao bado naumiza kichwa